Duration 7:11

Jinsi ya kupika vitumbua laini sana kirahisi na tamu sana | Rice cakes recipe

412 527 watched
0
5.2 K
Published 1 Dec 2019

leo nimewaletea mapishi rahisi ya vitumbua laini Mahitaji: kikombe kimoja na nusu mchele vikombe viwili kasoro tui la nazi kikombe kimoja sukari kijiko kimoja kidogo hamira nusu kijiko kidogo hiliki keki, vitumbua, vitumbua laini, vitumbua moto moto, tamu, laini, viazi, kachori, mapishi, tanzania, keki tanzania, kuoka keki, keki dar, kuoka na kupamba keki, kujifunza keki, cake, cake baking, cake making, mapishi rahisi

Category

Show more

Comments - 334