#kundiladamu #mimba #Ipmmedia
Ni muhimu kulinganisha makundi ya damu na mwenza wako
Utofauti wa makundiyadamu hauathiri wanandoa pia unaweza kuwa tatizo wakati wa kupata mtoto.
Utofauti wa mfumo wa ABO sio jambo kubwa, lakini sio kwa mfumo wa Rh. Kutofautiana au kutoingiliana kwa Rh ni tatizo kubwa ambalo linaweza kumuathiri mama na mtoto.
Kama wazazi msipokuwa makini mnaweza kujikuta mnaharibu mimba nyingi au kupoteza maisha ya mtoto.
Keywords:
Group ya damu itakayokukosesha kupata watoto
Yafahamu makundi ya damu mwilini na kwanini ni muhimu ujue kundi lako /bonge la afya
Mimba kuharibika kutokana na utofauti wa Damu ya Baba na mama /visababishi na namna ya kuepuka
Mama afya