Duration 2:46

WATOTO WAISHIO MASHAMBANI KUKOSA ELIMU

106 watched
0
0
Published 10 Jun 2018

Zaidi ya watoto 30 kutoka kwenye kaya 22 za jamii ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Malongwe kata ya Nkandasi wilayani Nkasi wameshindwa kupata elimu baada ya wazazi wao kutowapeleka shule huku wengine wakipata ujauzito na wakiolewa katika umri mdogo.

Category

Show more

Comments - 0