Duration 32:8

Mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Part 1. Siasa za Tanzania.

23 224 watched
0
36
Published 17 May 2012

Hii ni sehemu ya kwanza kati ya nne za mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe. Katika sehemu hii, anazungumzia hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA na TANZANIA. Hofu yake juu ya ukuaji wa chama chake. Matatizo yanayoukumba uchumi wa nchi. Je! Anahofia kuwa yale yaliyotokea kwenye nchi za Arabuni yanaweza kutokea Tanzania? Kwanini anasema kuna tatizo la uwajibikaji nchini Tanzania? Anafafanuaje hoja hii? Ni ipi silaha ya mwanasiasa wa Tanzania? Na kwanini anaamini kuwa imepotea? Suala la KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU. Ilikuwaje, ikoje na nini kinafuata? Je! Baada ya kubadili baraza la mawaziri, HOJA IMEKUFA? TATIZO LA AJALI... Kwanini maelfu ya wananchi wanakufa ajalini na hakuna kiongozi anayeonekana kujali ilhali akihusisha Waziri ama M'bunge mmoja nchi nzima inazizima? Kwanini serikali haiarifu wananchi kama inavyostahili na mengine mengi UNGANA NASI NB: Intro ni ileile katika sehemu zote za mfululizo huu.

Category

Show more

Comments - 3