Duration 3:13

MBUNGE WA VIJANA ASIA HALAMGA ASEMA NA MADIWANI HANANG'

530 watched
0
1
Published 26 Nov 2020

Mbunge Muwakilishi kundi la Vijana Taifa anayetokea Mkoa wa Manyara Asia Halamga amewataia madiwani Wa Chama cha mapinduzi Wilaya ya Hanang' kuipitia kwa umakini Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli aliyoitoa wakati akihutubia Bunge kwnai hotuba ile imebeba maono na jinsi ya kutatua changamoto za wananchi #wasafimedia #uvccmtaifa # uhurudigital #cloudsmedia #millardayo

Category

Show more

Comments - 0