Duration 35:8

Nuksi ya Yanga yaisha kwa kuwaumiza Singida United 1-3

98 286 watched
0
329
Published 22 Jan 2020

SINGIDA UNITED 1-3 YANGA SC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS Timu ya Wananchi, Yanga SC imefanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa mwaka huu ikiwashushia kichapo cha mabao 3-1 Singida United, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Liti mkoani Singida. Yanga wametangulia kupata bao kupitia kwa David Molinga dakika ya 12, Haruna Niyonzima dakika ya 58 na Yikpe Gislain dakika ya 78, kabla ya Six Mwasekaga kupiga bao la kufutia machozi dakika ya 83.

Category

Show more

Comments - 55