Duration 6:36

MAMBO YA AJABU YALIYOPO SAYARI YA MARS

68 800 watched
0
316
Published 21 May 2019

MAMBO YA AJABU YALIYOPO SAYARI YA MARS Kwa miaka mingi kumekuwa na malengo ya kwenda Sayari ya MARS na pengine kuweka makazi huko lakini kwa inavyoonekana sasa ndoto hizo zinakaribia kutimia. Iwapo kama mipango ya mjasiriamali mmiliki wa Space X Elon Musk itatimia, ELON MUSK anapanga kutuma kundi la kwanza la watalii kwenye sayari hiyo kufikia 2022.Lakini gharama yake kubwa kidogo, kwani Tiketi yake ni $10bn! Lakini iwapo huwezi kupata pesa nyingi kiasi hiki, usife moyo. Kuna njia nyingine ya kiteknolojia ambayo taasisi ya safari za anga za juu ya Marekani Nasa inatafakari ni ya kutumia miwani ya kisasa na roboti. Roboti ndiyo itakuwa Mars, wewe uwe papa hapa duniani lakini itakuwa ikikupeperushia picha za uhalisia kutoka sayari hiyo. #SAYARIYAMARS www.youtube.com/watch/N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 12