Duration 7:13

NGUVU YA MUNGU:MKUTANO WA INJILI E.A.G.T BUKUBA,KIMEWAKA MIUJIZA YATAWALA

348 watched
0
3
Published 12 Oct 2021

Katika mfululizo wa Kipindi cha NGUVU YA MUNGU ambacho huwa kinarushwa kupitia Kizazileo Media online TV,Leo tumekuletea matukio ya mkutano wa injili ulioanza tarehe 05/10/2021 katika kanisa la EAGT BUKUBA Wilaya ya Buhigwe-Kigoma Tanzania chini ya mchungaji Joakim. Aliyekusogezea Taarifa hii ni Yaled(Y2N).Wadhanini wa Kipindi hiki ni NKUKU VIDEO PRODUCTION(NVP) Wazalishaji wa Video bora Tanzania wako Buhigwe-Kigoma fika ukashoot Video za Kisasa(0757988254). #Nguvu#ya#MUNGU

Category

Show more

Comments - 2