Duration 23:35

ARUDISHA VITU ALIVOTUZWA NA SHOGA YAKE KISA MANENO YA FB/TUNARUDISHA KWA TARUMBETA NA SARE VIJORA

579 957 watched
0
2 K
Published 22 Jan 2021

Mji hauishi mambo huu,haya hili jingine kutoka Majohe jijini Dar es salaam ambapo Shoga ameamua kurudisha beseni alilotuzwa na shoga shoga yake kisa shoga aliyetunza amechamba facebook maneno yakumsema shoga yake ndipo shoga alipoamua kumrudishia vitu vyake.Na kwakua vitu vilivyoletwa vililetwa kwa tarumbeta basi na yeye aliamua kurudisha kwa tarumbeta. Tizama tukio hili ujionee watu wa Dar na mambo yao #GeahTv #MatukioyaGeah #geahhabibu

Category

Show more

Comments - 1525