Duration 24:3

Waridi wa BBC: Lulu Diva 'Mama hajazungumza kwa miaka tisa, sijui anafikiria nini'

3 214 watched
0
37
Published 7 Jul 2021

Lulu Diva ni msanii wa Tanzania aliyejipatia umaarufu kutokana na mtindo wake wa maisha ambao umeibua hisia mseto. Safari ya mwanadada huyu mzaliwa wa Tanga imekuwa na pandashuka nyingi, ila anasema kuwa pandashuka hizo zimemtayarisha katika kupigania nafasi yake kama msanii wa kike. Amezungumza na mwanahabari Anne Ngugi kuhusu safari ya maisha yake. #bbcswahili #tanzania #waridiwabbc #sanaa

Category

Show more

Comments - 20