Duration 8:35

Maulidi Juma - Hiyo Isiwe Ndio Sababu Nyonda Tukaepukana (Official Audio)

180 005 watched
0
514
Published 12 Oct 2018

Maulidi Juma - Hiyo Isiwe Ndio Sababu Nyonda Tukaepukana

Category

Show more

Comments - 58
  • @
    @aminarama92303 years ago Nkisikiza hii nyimbo nakumbuka marehe babuyangu. Nakupenda sana jumaa salimia familia apo soko mjinga kwa salim bazawad. 5
  • @
    @nzeyimanaambari97542 years ago Hakuna badala hamnawarithi sauti hakunna badala mtakumbukwa daima. 1
  • @
    @arafaibwende87274 years ago Yani hizi! Ndy zilipendwa ukisikia, yani raha mpaka, taratibu. Taarabu ndo hizi big up! Nakumbuka mbali sana! 5
  • @
    @gaddafialjabry6 years ago Asante maulidi, i mis soko mjinga wallahi. 2
  • @
    @mariamsuleiman4374 years ago Nakumbuka mbali sana nikiwa ndogo mama na baba walikuwa wakipenda sana hii nyimbo. 3
  • @
    @nzeyimanaambari97542 years ago Mmenifikisha hapo ndipo 1956 hadi kesho pindi nikiazimwa pumzi laha, sana.
  • @
    @jamaalabdinasir544 years ago Wah sioni tofauti ya kishore kumar na mohamed raffiq. 2
  • @
    @bakarihassan76913 years ago My life time always i like it for sure. 1
  • @
    @naseemjeddah80426 years ago Nasinzia waarabu hawana gati santhaa babu. 3
  • @
    @swalehkhamis5084 years ago Wakati wa raha na umakini, ndio ushapita. Sasa raha hakunatena ni fujo tuu, na uvundro. 1
  • @
    @fatmamohammedmohammed67215 years ago Asanta babu apanilipo raha tu naburudika. 4
  • @
    @HadijaHadija-py6xz10 months ago Ikiwa naskia hizi nyimbo myo wangu unatulia sna.
  • @
    @ramadhanmohamedi97932 years ago Asallam aleykum nitapataje nyimbo za maulidi juma niko mwanza tanzania.
  • @
    @abdallahmzimbiri76595 years ago Naomba nyimb za juma balo kwa wing mweny nazo nimpe namb anitumie wasap.
  • @
    @saidkivugo88994 years ago 0745429621 naomba mwenye hii nyimbo anitumie wat sup plzz.