Duration 4:19

ZABURI JUMAPILI YA 3 YA PASAKA

416 watched
0
12
Published 17 Apr 2021

BWANA UTUINULIE NURU YA USO WAKO Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo Umenifanyizia nafasi wakati wa shida Unifadhili na kuisikia sala yangu. Bali jueni ya kuwa Bwana amejiteulia mtauwa Bwana atasikia nimwitapo Wengi husema, nani atakayetuonyesha mema? Bwana, utuinulie nuru ya uso wako. Katika Amani nitajilaza na kupata usingizi mara Maana wewe, Bwana pekee yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama

Category

Show more

Comments - 1