Duration 19:23

PATANISHO - ALITUMA FARE LAKINI HAIKUTOSHA

37 933 watched
0
354
Published 26 May 2021

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika #RadioJamboKenya Subscribe to RadioJambo Youtube - https://bit.ly/39wwc6u Mitandao ya Kijamii Instagram - https://rb.gy/e154d1 Facebook - https://rb.gy/09d1b9 Twitter - https://rb.gy/e23220

Category

Show more

Comments - 246
  • @
    @miumanchannel1973 years ago Huyo jamaa dryspell iko juu sana na anatafta maid sio bb ati hapa kazi anafaa akue na bb. 11
  • @
    @annmwariri81193 years ago And that' s why am proudly kikuyu now what' s this surely? 25
  • @
    @kennedykipronoh29423 years ago Bwana kenneth ako na pressure ya kuoa sana. Lazima umri wake umesonga na amekaziwa kuoa. 14
  • @
    @jackmuendo21573 years ago Boy child apewe aki yake, gonga like tukisonga. 8
  • @
    @Abel_Onyancha3 years ago Huyu jamaa ni kubafu. 1k tu unaangaisha hapa msichana wa wenyewe ka gari ya miraa! Na ungekuwa umetoa airfare kungekuwaand utotology combined. 21
  • @
    @salomeonywoki26283 years ago Namba 4 since patanisho leo ndio nimeview mapema likes zikam, kennedy ajielewi kabisa. 4
  • @
    @EDDY59183 years ago Patanisho kabla ya kupatana. Hii kali
    mwenye pupa haadiriki kula mbivu.
  • @
    @salomeomashibo19713 years ago Mzee mwenyewe ako na kihere here kama mukataji wa nyama duu hatari kwa usalama. Amelemewa na nyege. Ww lidia ambia yy akuje home kwanza ndio uwende kwake wacha kubebwa kama kunia ya maka gidi hoyee. 5
  • @
    @annemarcyannemarcy15743 years ago Lydia usiende wacha akunje kwenu kwanza huyu anataka uende akule mali thao yake isipotelee hehee. 5
  • @
    @kanakekareko77253 years ago Lydia enda ubomorewe jamaa anakuhitaji mum. 8
  • @
    @media1international2793 years ago Hii ndoa itakuwa ya machozi! Dalili ya mvua ni mawingu. 8
  • @
    @theresiakawinzi7393 years ago Wote wako na ushezi. Mbona mdemu akusema fare haitoshi? 3
  • @
    @essiewajojis79183 years ago Wat huyu jamaa ako na utoto sana how comes unaita mtu bibi yako na humjui hehehehe. 6
  • @
    @beryl804last year Kwanza, he said " huyu mtu akuje" pressure awache.
  • @
    @graciendungu30733 years ago Wah hii ni tricky sana, huyu mtu ni mkora aki. 6
  • @
    @lastbornnyash3 years ago Hii ya leo nayo sioni, yaani watu hawajuani alfu washaanza patanisho. Je wakioana kutakua vipi jamani. 10
  • @
    @liliankemunto31243 years ago Hyu mtu n mzee sana, kuna mtu anampressure aoe. 2
  • @
    @mboneclaire87963 years ago Fare ilikulwa akapiga radio jambo haha. 1
  • @
    @nellymberia35173 years ago Mimi naeza ogopa kujikuta kiruguya morgue, alafu jamaa akona kiherehere kama wale con wa safari com. 1
  • @
    @herinahellen98622 years ago When someone who lies in the first instance that' s a red flag!
  • @
    @annaheggidy78583 years ago Gost where are you my friend hii patanisho ingefaa sana na ile cheko yako. 1
  • @
    @bettiejoy-mtotowamamalast year Hizo pesa alituma zinamuuma sana, huyo kuishi nae shinda tupu.
  • @
    @anastaciamalachi75523 years ago Tuma 50 sahii akuje kesho nikutumie number. 3
  • @
    @fayetteville63103 years ago Gidi anaonaga mambo mengi hapa patanishoeti mum! Wueh mnitumie iyo izo elfu mbili nikule pia! 1
  • @
    @marymarrin68773 years ago Sasa hawa wameaza kujibishana sai na hawajamet. 3
  • @
    @linetnekesa80193 years ago Hyo n walikula pesa tuma tena akule navile life n hard nlini wanaume mtaerevuka.
  • @
    @annaauyo19583 years ago Ooh my! Ooh my! Kenneth. Aki he' s desperate wooi. Lidya hiyo fare fungulia business mum. Nimeskia ukiitwa mum. 5
  • @
    @Ema32293 years ago Lydia be careful huyu jamaa hapana ni gutee. 1
  • @
    @catherineaseka77813 years ago Ningekua mm singeolewa na huyu jamaa cox hata kuelewa kwake ni vigumu sana. Sasa kwa ndoa ndo ataelewa. 2
  • @
    @esthermugure56763 years ago Aaaii mbona yy asiende kwanza aone dem kwenye ako. 1
  • @
    @sefaniamutonga76163 years ago Dada think twice kabura ujaenda kwa jamaa umujui. 1
  • @
    @op-golden3 years ago Hii ni ujiga ya hali ya juu, hii ndio kuoa sasa.
  • @
    @kenyanniggar3573 years ago Fare iko hapa ya kukula, madem changamkeni. 1
  • @
    @lucynjoki80593 years ago Elefu moja itatoa m2 eld imfikishe embu kweli vane?
  • @
    @teedullah57083 years ago Gidy usikubali huyo msichana aende kwa huyo mtu.
  • @
    @chichimwariwawanyoike48723 years ago Huyo jamaa ni shida tupu dem akue makini sana mm siwezi kuchukuliwa ivo kaa mayai moto never.
  • @
    @essiewajojis79183 years ago Mila na desturi ifutwe unachukuwa aje mtoto wa watu kama hana kwao alaa enda kwa wazazi wao na uitishwe dowary huyu sio wa loan kwenda. 8
  • @
    @jairusomari14593 years ago Eeee. Wewe. Mwanaume. Hamujaowana. Na. Unateta. Panganga. Mingi. Dada. Yangu. Jichungwe. Hii. Ni. 2021. Mwambiye. Akuje. Kwenyu. Simu. Zina. Maneno. Lakini. Huyo. Mwanaume. Kweli. Ako. Na. Shida. Kidogo.
  • @
    @jeyshillyjack44703 years ago Gai, kwani shemeji yako anakupeana ka kuku, wah.
  • @
    @felichemagriventures6533 years ago Wee kula hio fare mamaa, usijipeleke kumeet stranger. Wacha akuje mwenyewe. 7
  • @
    @pherozkissaro97623 years ago Sister ucikubali kwenda kwa huyo mzaye is not stable tell hem to give you 10, 0 ksh 2 way fair. 2
  • @
    @jairusomari14593 years ago Wewe. Mrembo. Jichunge. Hapo. Kuna. Shida. Lazima. Ufikiriye. Mara. 2. Wacha. Akuje. Kwenyu. 1
  • @
    @reecemwongeli26983 years ago Mbona huyu mtu ni ngumu kuenda huko kwa kina msichanaatume fare ikulwe tena. 1
  • @
    @fathiyafaki90723 years ago Huu ni msiba hakuna muoaji hapo lydia kanyaga kubwa ukienda, pesa yenyewe ni 1k. 4
  • @
    @miumanchannel1973 years ago Gidi huyo jamaa ako na moto sana na iyo si sign poa ye hata si love ako nayo ni nyege na ameona ashapata mtu wakutoa kutu kwake so huyo mdem pia akue wise . ...Expand
  • @
    @jojojoy14473 years ago Hii ngo' mbe ya mwanaume ya wapinataka bb.
  • @
    @susankomu89783 years ago Upuzi gani hi? Huyu mwanaume athink twice. 1