Duration 24:41

Thamani ya Muda wako kwa Yatima ni bora - TAQWA FOUNDATION

440 watched
0
7
Published 15 Jan 2020

Taqwa foundation , ni taasisi inayosaidia mayatima katika kila nyanja, lakini kubwa ni kwasapoti katika elimu, na kila mmoja anaweza kuchangia kile alichojaaliwa kwa namna yake ili kuweza kuendeleza elimu kwa watoto wasio na wazazi, lakini kikubwa ni kuwapa muda wa kutosha ili wasijihisi wapweke .

Category

Show more

Comments - 3