Duration 3:51

Naibu wa rais amfokea rais kwenye mtandao wa Twitter

191 055 watched
0
966
Published 15 Jun 2021

Naibu wa rais amfokea rais kwenye mtandao wa Twitter Rais aliashiria kuwa atamuunga mkono mgombea wa urais asiye wa Jubilee Ruto ashangaa ni kwa nini rais asimuunge mkono mmoja wa Jubilee Rais Uhuru aliwapa changamoto wajumbe wa Ukambani kuungana kisiasa

Category

Show more

Comments - 450