Duration 16:40

Lulu Diva na TID hawaogopi Corona Wananyonyana hadharani Baba Levo | TID ashindwa kunyoosha maneno

44 925 watched
0
296
Published 16 Apr 2020

"Kipindi cha nyuma ili msanii wa Bongo aweze kupata show za kimataifa ilikuwa lazima muziki wake uwe umefika nchi nyingi kama Kenya, Burundi, Afrika Kusini na nchi zingine ili promoter akikuchukua asiingie hasara na mimi nakumbuka show yangu ya kwanza kimataifa ilikuwa London na hapo ni baada ya muziki wangu kuvuka boda (Kupenya kwenye nchi tofauti)na @officialbabalevo ambaye mziki wake hata Kenya haujafika inakuwa ngumu kwake kutoka kimataifa na kuishia kufanya show Shinyanga na Kigoma" #TID #SizKitaa #Hutojutia

Category

Show more

Comments - 47
  • @
    @norafrowin17484 years ago Tid na baba levo wanabond nzuri sana ya kutaniana nimeipenda na nyimbo nzuri. 2
  • @
    @hadijahadijaminchande46044 years ago Niyeye nakubali san interview yake t. I. D lazima ucheke au utabasamu. 3
  • @
    @emilkisigo84744 years ago Baba levo na mnyama nimewakubal kinoma. 3
  • @
    @junuferjinu14444 years ago Nime cheka sana td bwana eti kiherehere. 2
  • @
    @nibeeboy64824 years ago Show kali nimecheka sana. Love from kenya.
  • @
    @allysalehe29194 years ago Dah tatizo la wabongo bwana vingeleza vingi sana. 6
  • @
    @madukaj.j.69994 years ago Kitambi, kitambi nilikuwa nakitamani leo hii nimekipata nimeona kitambi nomaaa. Bambo song. 3
  • @
    @mariamsuleiman16384 years ago Huyu tid akili zake anaijua3 mwenyewe, alafu munataka corona ishe. 2
  • @
    @rozeypwizzy64724 years ago Kama umeskia mara kidao. Haha kachapia baba levo.
  • @
    @AFRIASIA4 years ago Mtt wa kiume kukata kiuno hvo kama fala!
  • @
    @samsonimsafi52644 years ago Kumbe tid ndy man alipigwa ngumi za uso anajifanya anajua kong fuu.
  • @
    @alihijiiddi89774 years ago Hamjuwi kitu wacheni kuweka zogo na matusi yenu nyinyi mmeshakunywa majiya choo tokeni hapa.
  • @
    @ali2lovely734 years ago Wote wanaugua hawa na wewe ulo upload upumbuvu huu wabongo bwana.