Duration 2:51

Ziara Jimbo la Uzini

Published 7 Dec 2021

Ziara ya Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Mhe. Suleiman Masoud Makame katika jimbo la Uzini kuangalia changamoto za huduma ya Maji safi na Salama zilizopo katika jimbo hilo pamoja na kuzitolea ufafanuzi. #LIPAMAJI,TUIMARISHEHUDUMA.

Category

Show more

Comments - 0