Duration 2:8

DIAMOND PLATNUMZ Atishia Kuachia Wimbo na Album MPYA Muda wowote

7 053 watched
0
74
Published 19 Apr 2021

CEO wa #WCB #Wasafi Diamond Platnumz amedokeza juu ya ujio wake Mpya na album mpya hivi karibuni,#DiamondPlatnumz ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwauliza mashabiki zake wanahitaji nini hasa baina ya wimbo mpya ama Album Mpya,Diamond Platnumz amefanya hivyo ikiwa ni furaha ya video yake ya #Waah ft Koffi Olomide wa nchini Congo Kugikisha views million 60 kwenye mtandao wa Youtube ndani ya miezi minne tu Tazama hapa #Chidmaburudani #Cmtv

Category

Show more

Comments - 7