Duration 36:00

PART4:KIJANA ALIYERITHI MIKOBA YA UCHAWI WA BABU YAKE AELEZA ALIVYOFANYA MAUAJI YA KUTISHA/GAMBOSHI

7 451 watched
0
116
Published 16 Jan 2021

Category

Show more

Comments - 198
  • @
    @monicasimpilu62573 years ago Dunia ina mambo hii wengine tunalala wengine wanakesha kutafuta kula nyama za watu. Wengine kuchukua nyota xa watu mungu tusaidie waja wako. 13
  • @
    @seasonepisode33283 years ago Apana jina lingine lenye nguvu zaidi ya jina la yesu kwa jina la yesu majini wanakimbia. 2
  • @
    @zettyhassani22443 years ago Subhana allah, mungu nakushukur kwa uzima hu. 1
  • @
    @rosecruiz43483 years ago Ubarikiwe sana kakangu mungu azidi kuku tia nguvu katika safari ya kwenda mbinguni. 1
  • @
    @navokisembo3 years ago Barikiwa saana kaka yesu ndie njia na uzima.
  • @
    @frankmtei30173 years ago Ameen, ubarikiwe sana mtu wa mungu. Yesu ni bwana! Hallelujah. 1
  • @
    @elizanzula83753 years ago Asante sana nyote mpaka mrudi kwa mungu palipo na usalama wa milele na hakuna majuto.
  • @
    @farhathamdansalum97253 years ago Kk ww kwa kweli hatari venye unawaganguwa.
  • @
    @wantangosaimon52953 years ago Sasa wew davis unashangaa mtu kufaulu mtihan kupitia majini umesahau juma 17 julietiakafaulu mtihan wa shule kupitia juliet. 1
  • @
    @florencerose8593 years ago Kama umeokoka umewacha mabaya na mbona umeficha usoo?
  • @
    @seasonepisode33283 years ago Nakumbuka kaka angu alikua mwalimu mkuu alioa muislam yule dada alikua na majini atari basi akawa anaombewa yakamtoka ila yakamuingia mtoto wake wa kike. Miaka mingi sana imepita sijui kama yalitoka au laa.
  • @
    @jamesswai65833 years ago Mungu mkuu sana. Yesu ndo kila kitu jamani, njoon kwa yesu. 1
  • @
    @costavalenci76993 years ago Dav huwa napenda sana namna unavyomhoji mtu.
  • @
    @fatmaalrshdii76153 years ago Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko. 2
  • @
    @wantangosaimon52953 years ago Aisee davix kipindi hiki kinatufundixha vitu vingi sana saa nyingine kumbe unaweza kukosana na familia yako kumbe unakuta umepandikkzwa uchawi tu wa kuwavuluga. 4
  • @
    @farhathamdansalum97253 years ago Hii kweli kuna watu hutumia maji kujuwa kusoma hajakosea.
  • @
    @nurafedrick3783 years ago Hongera kumuachaa shetani nakurudia mungu wako
    ilahapo kwa lita ishirini xadamuhapo si mat xima ndoitoshe hilo dumu ama mbili.
  • @
    @rasjamal98543 years ago Hii deep davistar mata ubarikiwe maana tuna jifunza mengi sana kupitia kipindi chako.
  • @
    @macamezunguzungu56973 years ago Wachawi wapuzi saana hapa dunia hawajali pesa so kuuwa watu tu bila faida mungu siku ya kiama piga kibiliti. 2
  • @
    @ruthkwamboka90823 years ago Ewe mungu twakuomba utuokoe kutoka kwa dunia ii. 1
  • @
    @deelissa27463 years ago Mti mkav si ndio alisema yy ni mwenykt wa wagng tz. 1
  • @
    @meenalaza4063 years ago Jamani bro davistar usiku ukilala huoti ndoto mbaya maana story nizakutisha tu.
  • @
    @credo78373 years ago Safi sana nilikuw naingoja kwa ham tuko pamoja. 1
  • @
    @seasonepisode33283 years ago Yan majini yamewaingia watoto wa mchungaji mala watoto wanaswali swala 5 na wanaongea kiarabu inamana apa inamaanisha wale wanao swali swala 5 na kuongea kiarabu means ni wa shetani asante yesu kristo.
  • @
    @heartheart76283 years ago Ukion davi amepost hii video ikiwa ndefu namna hii jua kuna stori zingine zinakuja kwa wingi. 2
  • @
    @farhathamdansalum97253 years ago Kk davi mtafute huyo mganga ujue umuhoji na yy.
  • @
    @denizamahongo85573 years ago Yaani kila siku nastaajabu mambo haya duniani, kweli nabaki mdomo wazi kazi hipo, damu ya yesu itakase kwa kila jambo. 1
  • @
    @jesusislord91903 years ago Kabla hamjaanza kuombewa mnapaswa kwanza mfundishwe biblia hakuna mahsli kwenye biblia pameandikwa uchawi umeletwa na mungu.
  • @
    @frankmtei30173 years ago Damu ya mtu ikimwagwa inaongea kudai ilipiwe kisasi.
  • @
    @shizaarfred40593 years ago Yan hawa wajinga sana hawaonagi sehem nyingine za kwenda kucheza mpka kanisan wote mtateketea na mtamludia muumba wenu.
  • @
    @godwinjosephat50443 years ago Davister mata nimefuatilia simulizi zako nyingi sana, ukweli ni kwamba wengi waloopata matatizo jina la yesu (ukristo) ndio umewaokoa, kuna kitu cha msingi sana kinaonekana hapa. 3