Duration 8:48

Kukuza Na kurefusha nywele za kipilipili na nywele kujaa kichwani kwa kutumia maji ya mchele.

18 549 watched
0
175
Published 2 Jun 2020

Karibuni tena wapenzi kwenye video nimeonyesha Jinsi ninavyo tumia maji ya mchele kwenye nywele zangu. Maji ya mchele yana faida nyingi sana kwenye nywele. Yanasaidia kukuza nywele, kujaza nywele kichwani, Na kurefusha nywele. Video ya maji ya mchele /watch/w1kSsulyG3LyS Steaming ya kukuza nywele /watch/kyRwAnHYBIEYw Unaweza kunipata kwa Instagram: bariki.k Email address for sponsorship or business: bariki. Karoli@gmail.com

Category

Show more

Comments - 89