Duration 2:38

Safari ya Boeing 787-8 Dreamliner ilivyotua Dar Es Salaam.

Published 28 Jul 2020

Usiku wa kuamkia jana ndege yetu aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ilitua salama kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutokea Guangzhou, China ikiwa na jumla ya abiria 255. #FlyAirTanzania #TheWingsofKilimanjaro #SafiriSalamaFikaSalama

Category

Show more

Comments - 0