Duration 1:59

Ibada ya shetani Voi yaleta hofu

62 726 watched
0
90
Published 3 Jul 2013

Hali ya taharuki na wasiwasi imewakumba wakaazi wa mji wa Voi kaunti ya Taita Taveta baada ya barua zinazosemekana kuchapishwa na wanaoabudu shetani kupatikana zimesambazwa katika eneo hilo . Barua hizo ni mwito wa mkutano wa jamaa ambao wanajiita wafuasi wa shetani walioitisha mkutano msituni ili kupinga kazi za injili katika eneo hilo. Wakaazi waliojawa na wasiwasi sasa wanasema kuwa wamo mbioni kuomba ili kuepukana na visirani vilivyopangwa katika barua hiyo,. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Category

Show more

Comments - 10