Duration 9:9

WHAAT Harmonize amvua nguo Wolper,'alimtaka Diamond kimapenzi, akamuambia atamzalia mtoto wa kiume'

186 940 watched
0
2.7 K
Published 9 Aug 2020

Harmonize amefunguka sababu ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Jacqueline Wolper. Staa huyo ameeleza kwa uchungu wakati akitumbuiza kwenye tamasha la Jipoze jijini Dodoma. Utashangaa alichokisema

Category

Show more

Comments - 1230