Duration 5:21

TUNAPINGA RUSHWA YA NGONO WATOA MSIMAMO MABADILIKO SHERIA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA YA NGONO.

53 watched
0
0
Published 20 Jun 2023

Wawakilishi wa Mtandao wa Kupinga rushwa ya ngono(Anti sextortion Coalition) wazungumza na waandishi wa habari, kwa Lengo la kutoa taarifa yenye msimamo wa mtandao kuhusu mabadiliko ya sheria ya Kupambana na Kuzuia rushwa kifungu cha 25(2).

Category

Show more

Comments - 0