Duration 22:50

VIDEO: UCHAMBUZI: HARMONIZE FT AWILO LONGOMBA NA H BABA/DIAMOND NA ALIKIBA WAFANYE KAZI YA ZIADA

24 392 watched
0
244
Published 23 Apr 2021

UCHAMBUZI Katika kipindi cha Reacp na Mando ambacho kazi yake kubwa ni kuangazia matukio yote ya burudani Tanznaia na nje ya Tanzania, kinakupa fursa ya kusikia matukio mbalimbali yanayozidi kutokea. Hii ni Recap mahususi kwa ajili ya kuchambua ngoma ya Harmonize #ATTITUDE aliyowashirikisha Awilo Longomba & H Baba.

Category

Show more

Comments - 82